zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, November 6, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, alipomtembelea na kumsabahi kwenye hoteli aliyofikia iliyopo jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini jana. Kikwete yuko nchini humo kuhudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na za Maziwa Makuu (ICGLR), unaofanyika jijini Pretoria.

No comments :

Post a Comment