Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea mbele jopo la Marais wastaafu wa Afrika kuhusu linaloongozwa na Rais Mstaafu wa Msumbiji Mheshimiwa Joachim Chissano anayefuatana na Rais Mstaafu wa Botswana Mhe Festus Mogae leo Novemba 25, 2013 Ikulu jijjini Dar es salaam. Mhe. Chissano, ambaye ni Mwenyekiti wa jopo hilo pamoja na Mhe Mogae, walifika Ikulu kusikiliza upande wa Tanzania kuhusu mgogoro wa mpaka na nchi ya Malawi, baada ya kufanya hivyo hivyo hivi karibuninhuko Blantyre, nchini Malawi.
PICHA NA IKULU
- Wakibadilishana mawazo baada ya mkutano
- Chanzo: ZanzibariYetu
No comments :
Post a Comment