Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amepokea Rasimu ya Katiba Mpya ambayo itajadiliwa hapo baade na Bunge maalum la Katiba
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiwapongeza wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya katiba
baada ya makabidhiano ya Rasimu ya pili ya Katika katika viwanja vya Karimjee Hall jijini Dar es Salaam
Rais Kikwete akiwa pamoja na wajumbe wa Tume ya Marekebisho ya Katiba
Rais Kikwete akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba na Mhe. James Mbatia wa NCCR Mageuzi, Jaji Warioba akiwa pembeni akiwasikiliza
No comments :
Post a Comment