zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, December 4, 2013

UWT Wakutana na Waandishi Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.

                  

 Naibu Katibu Mkuu wa UWT Zanzibar Bi. Salama Abuud Talib akimkaribisha Makamu Mwenyekiti UWT Bi. Asha Bakari Makame kuzungumza na wandishi wa Habari kuhusu miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa upande wa Jumuiya hiyo.


  Makamu Mwenyekiti UWT Bi. Asha Bakari Makame akisisitiza kitu alipokuwa akizungumza na wandishi wa Habari kuhusu miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ofisini Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.

 Mwandishi wa Habari wa Chuchu Fm Radio Rahama Suleiman akitaka ufafanuzi wa kitu kwenye Mkutano wa UWT ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment