Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, January 16, 2014

Mambo Yalivyokuwa Sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, akiwapungia mikoni wananchi waliofika katika viwanja vya Amaan kushiriki maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimisha rasmin 12-1-2014. 
Vijana wa Halaiki wa Kikundi cha Utamaduni wakionesha Utamaduni wa Zanzibar katika maonesho ya Halaiki ya kutimia miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yalioadhimishwa katika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Vijana wa Halaiki wakicheza na kuonesha maombo mbalimbali ya Zanzibar na Kilimo katika maonesho yao uwanja wa Amaan.
Kikundi cha Ukombozi wakionesha umahiri wao wa Ulinzi na Usalama wakati wa onesho lao katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Vijana wa Halaiki ya Ukombozi wakionesha hali ya Ulinzi kuzuia adui asiingie kuleta madhara 
Vijana wa Skuli ya Msingi ya Mwanakwerekwe na Mkwajuni wakionesha umahiri wa kucheza sarakasi wakiwa katika baskeli moja imepandwa na Watu 12.


Vijana wakiongoza maandamano wakiwa na Picha ya Jamadari wa Mapinduzi ya Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume wakipita jukwaa kuu. 
                         Kikosi cha Bendera cha Vijana wa Chipukizi kikipita mbele ya Mgeni rasmin.
Vijana wa Chipukizi wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar wakati wa sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar. 
        Vijana wa Chipukizi wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar wakati wa sherehe za Miaka 50 ya                               Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa Amaan Zanzibar. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akipokea maandamano ya Wananchi wa Mikoa 5 ya Zanzibar katika sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yalioadhimishwa katika uwanja wa Amaan Zanzibar.
Wanafunzi wa Chuo cha Afya Mbweni wakipita na ujumbe wao mbele ya Rais wa Zanzibar wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
                       Wananchi wakisherehekea maendeleo ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

      Mdau mambo ya Mbwa kachoka hayo wakati wa maandamano ya Wananchi wa Mikoa 5 ya Zanzibar
Ngongoti akiongozwa Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar kaika maandamano ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.






Askari Wastaafu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakitowa heshima mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. AliMohamed Shein, 
Askari wa JWTZ wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein. 
Askari wa Zamani wa Polisi wakicheza bwaride wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. wakionesha hali halisi ya wakati huo wa Ukoloni jinsi ya mavyazi yao 
Askari wa Kikosi cha Komando wakionesha umari wa kazi zao wanazozifanya wakati wakionesha katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika uwanja wa Amaan. 




Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment