Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, January 15, 2014

WANA-DIASPORA WA ZANZIBAR KUTOKA GTA NA NIAGARA PENNINSULA WAKUTANA HUKO TORONTO JANUARI 18, 2014!

Zanzibar-Canadian Diaspora Association

Assalaam alaikum.
Nachukuwa fursa hii kuwaarifu Wana Diaspora wote waliopo GTA na Niagara Penninsula, kwamba kutakuwa na mkutano siku ya Jumamosi, tarehe 18 Jan, 2014, utaofanyika Driftwood Community Centre, 4401 Jane St. Room 1C.
Time: 12:15 to 2:00pm.
Ajenda.
1. Tathmini ya kazi zilizofanyika.
2. Vifaa vya misaada vilivyopatikana.
3. Changamoto zilizopo.
4. Kusikiliza maoni ya wana Diaspora.
5. Mengineyo.
Tafadhali tufike kwa wakati. 

Kny:ZACADIA

No comments :

Post a Comment