Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akielekea katika Visiwa vya Samoa kwa ziara ya siku tano.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Makamu wa pili wa Rais Balozi Seif Iddi Ali huku Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Sharif Hamad akishuhudia
.[Picha zote na Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments :
Post a Comment