dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, September 9, 2014

KILICHO ZUNGUMZWA NA MH JOHN CHEYO LEO.

 

John Cheyo atangaza ushindi baada ya kuilaza chali CCM!

Ni taarifa kutoka bungeni ambayo itasaidia kukata kiu ya waliokua wanaisubiria au wanasubiri kufahamu kuhusu katiba mpya ambayo imekua ikiundwa, kama itatumika kwenye uchaguzi mkuu ujao mwakani.Ripoti kutoka 104.4 Dodoma zinaamplfy kwamba katiba ya zamani ndio itakayotumika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka kesho 2015 lakini itafanyiwa marekebisho ambayo ni 1. kumpa ruhusa mgombea binafsi kugombea, 2. kuwa na tume huru ya uchaguzi ya kusimamia uchaguzi, 3. mshindi wa Urais ashinde kwa zaidi ya asilimi 50, 4. matokeo ya uchaguzi wa Urais yaweze kupingwa Mahakamani, 5. kuwe na tume huru ya kusimamia uchaguzi.
‘Vyama vya siasa vinavyopenda kupendekeza mambo mengine ya kurekebisha katika katiba ya Jamuhuri ya muungano ya mwaka 1977 vinaombwa kufanya hivyo mapema’ – John Cheyo
Haya yametokana na kikao kilichofanyika kati ya Rais Kikwete na kituo cha demokrasia Tanzania ambapo Mwenyekiti wa kituo hicho John Cheyo.


Chnazo:  MILLARDAYO.COM


No comments :

Post a Comment