dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, September 11, 2014

MSAADA WA WHEELCHAIR TOKA MAREKANI

Wheelchair iliyotolewa na dada Joyce. Dada Joyce Mola akuzidishie imani na akupe kila ukitakacho hapa duniani na akhera! AMEEN!


Kuna masamalia mwema ametuka Wheelchair kwa Scholastica Mhagama (76)  mwenye ulemavu wa viungo anayeishi pekee yake katika kibanda kilichoezekwa kwa nyasi.
Bibi huyo mkazi wa Kijiji cha Lundusi Kata ya Peramiho wilayani Songea Mkoa wa Ruvuma, Msamalia huyu kutoka Maryland Marekani anaitwa Joyce Rwehumbiza aliguswa na stori iliyoandikwa na gazeti la mwananchi iliyoweka mawasiliano na  albano.midelo@gmail.com, 0688551355 iliyobeba kichwa cha habari "Bibi ajitengenezea jeneza baada ya kuchoshwa na dhiki" 

Joyce Rwehumbiza ameishatuma Wheelchair hiyo inafika Dar es Salaam leo Ahamisi Sept 11, 2014 na amejaribu kuwasiliana na mwandishi wa hii stori lakini hakuweza kumpata ameomba tafadhali Albano Midelo awasiliane na namba 0765 835722 wheelchair itafikia hapo na ameombwa afanye haraka kwani baada ya siku 2 huyu mama anatarajiwa kusafiri.

Bibi Scholastica Mhagama akiwa amejitengenezea jeneza lake

Chanzo: Vijimambo

No comments :

Post a Comment