Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Fatma S. Ally alipowasili wilayani humo kukagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi.
Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo.
Rais Kikwete akisalimiana na viongozi mbalimbali wilayani humo.
Rais Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde "Kibajaji".
Kikundi cha utamaduni cha Shule ya Msingi ya Msanga kikitumbuiza.
Rais Kikwete akiangalia ngoma ya Kigogo ikichezwa na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Msanga.
Rais Kiwkete akiwapongeza wacheza ngoma wa Shule ya Msingi ya Msanga.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt Rehema Nchimbi akishauriana jambo na Mkuu wa wilaya ya Chamwino Mhe Fatma S. Ally.
Mkuu wa wilaya ya Chamwino Mhe Fatma S. Ally akitoa taarifa ya Wilaya.
Watendaji wa Wilaya ya Chamwino wakiwa katika kikao na Rais Kikwete.
Rais Kikwete akitoa ushauri na maagizo kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali.
Watendaji wa Wilaya wakisikiliza kwa makini.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Chamwino akifafanua jambo.
Mwalimu Silvanus Hosea wa shule ya Bwigiri ambaye ni mwalimu mwenye ulemavu wa macho akitoa maoni yake.
Mwakilishi wa shirika la kimataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) akifafanua juu ya mradi wa chakula kwa wanafunzi mashuleni.
Rais Kikwete akitoa ushauri wa njia bora za kuendeleza mradi wa chakula kwa wanafunzi mashuleni.
Vijana waliomaliza elimu ya juu na kuamua kujishuhghulisha na mradi wa kilimo wilayani Chamwino wakitambulishwa. Rais Kikwete ameahidi kuwapatia trekta ili kuongeza tija.
Mmoja wa wataalamu wa miradi akitambulishwa.
Rais Kikwete akisalimiana na Mwalimu Silvanus Hosea wa shule ya Bwigiri.
Rais Kikwete akisalimiana na wahandisi wa mradi wa ujenzi wa ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.
Sehemu ya mradi wa ujenzi wa ofisi za halmashuari ya wilaya ya Chwamwino.
Wananchi wakifurahia katika sherehe za uwekaji wa jiwwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa ofisi za halmashauri ya wilaya ya Chamwino.
Kikundi cha utamaduni cha kinamama kikitumbuiza katika sherehe za uwekaji wa jiwwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa ofisi za halmashauri ya wilaya ya Chamwino.
Mkuu wa wilaya ya Chamwino Mhe Fatma S. Ally akimkaribisha Rais Kikwete na ujumbe wake.
Katibu tawala wa Wilaya ya Chamwino akitoa muhtasari wa mradi wa ujenzi wa jengo la halmashauri ya wilaya hiyo.
Mbunge wa jimbo la Chamwino Mh. Chibulunje akizungumza katika sherehe hizo ambapo alitangaza nia ya kutogombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu ujao mwakani.
Rais Kikwete akimpongeza Mbunge wa Chamwino Mhe Chibuluje kwa kutangaza hadharani nia yake ya kutogombea tena nafasi hiyo.
Rais Kikwete akizungumza na wananchi.
Rais Kikwete na Mbunge wa jimbo la Chamwino Mhe Chibuluje wakifunua kitambaa kama ishara ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa ofisi za halmashauri ya wilaya ya Chamwino.
Vifijo mara baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa ofisi za halmashauri ya wilaya ya Chamwino.
Rais Kikwete akipata maelezo ya mradi wa ujenzi wa ofisi za halmashauri ya wilaya ya Chamwino.
Bango la mradi.
Rais Kikwete akilakiwa na walimu wa Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela alipowasili ili kuzindua maabara ya masomo ya sayansi.
Rais Kikwete akikaribishwa kwa ngoma Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela alipowasili ili kuzindua maabara ya masomo ya sayansi.
Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde Kibajaji akiongea machache wakati wa sherehe za uzinduzi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela.
Rais Kikwete akizungumza na wananchi wakati wa sherehe za uzinduzi wa maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela.
Rais Kikwete akizindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela.
Rais Kikwete akikata utepe kuzindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela.
Rais Kikwete akiangala wanafunzi wakiwa mafunzoni baada ya kuzindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela.
Rais Kikwete akiangala wanafunzi wakiwa mafunzoni baada ya kuzindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela.
Wanafunzi wakiwa mafunzoni baada ya Rais Kikwete kuzindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela.
Rais Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na walimu baada ya kuzindua maabara ya Shule ya Sekondari ya Dkt Malecela.
Rais Kikwete akiwasili katika Shule ya Sekondari ya Mvumi Mission.
Rais Kikwete akiongea na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mvumi Mission.
Rais Kikwete akiwapa somo wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mvumi Mission.
Rais Kikwete katika picha na walimu na viongozi wa wanafunzi Shule ya Sekondari ya Mvumi Mission.
Rais Kikwete akiongea na wananchi baada ya kuwasili mvumi kuzindua mradi wa maji.
Rais Kikwete akiongea na Mbunge wa Mtera Mhe Livingtsone Lusinde.
Rais Kikwete na Mbunge wa Mtera Mhe Livingtsone Lusinde wakizindua mradi wa maji wa Mvumi.
Rais Kikwete akimtwisha ndoo mmoja wa wakinama baada ya kuzindua mradi wa maji wa Mvumi.
Rais akilakiwa na umati wa watu alipowasili uwanja wa Mvumi kwa mkutano wa hadhara.
Rais Kikwete akipokea zawadi ya mkuki na fimbo.
Rais Kikwete akimshukuru Mzee Manyweke kwa zawadi.
Zawadi zaidi toka kwa wazee mashuhuri wa Mvumi.
Rais kikwete akipata picha ya pamoja na wazee mashuhuri wa Mvumi.
Rais Kikwete akipewa zawadi ya mbuzi kutoka kwa vijana wa stendi ya basi ya Mvumi.
Ngoma ya utamaduni.
Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde akiongea na wananchi.
Rais Kikwete akimpongeza Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde.
Rais Kikwete akihutubia wananchi.
Umati wa wananchi wakimsikiliza Rais Kikwete.
Rais Kikwete akipeana mikono na Mbunge wa Mtera Mhe Livingstone Lusinde.
Rais Kikwete akipongezwa na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino.
Rais Kikwete akipeana mikono na Mhe Chibuluje.
Rais Kikwete akiagana na wananchi.
PICHA NA IKULU kupitia Vijimambo
No comments :
Post a Comment