airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, September 19, 2014

Uwanja wa kufurahisha watoto Kibirinzi Pemba

 PEMBEA ya ndege ikiwa imeshakamilika kufungwa ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Kibirinzi kilichopo Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

 PEMBEA ya Farasi ikiwa imeshakamilika kufungwa ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Kibirinzi kilichopo Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

 PEMBEA ya vibeseni ikiwa imeshakamilika kufungwa ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Kibirinzi kilichopo Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

 BANDA litakalotumika kuwekewa vigari likiwa limeshakamilika kujengwa na kusubiri vigari hivyo kufungwa ndani ya kiwanja cha kufurahishia watoto Kibirinzi kilichopo Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

PEMBEA la wanda nalo likiwa limeshakamilikwa pamoja na kutestiwa kuzunguruka kwakwe likiwa linasubiri kukamilika kwa kiwanja lianze cha kufurahishia watoto kilichpo Kibirinzi Chake Chake Pemba lianze kufanya kazi.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA)

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment