dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, September 8, 2014

Waandishi Wakiwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar Kutafuta ukweli

Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakiwa katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu Zanzibar Mazizini kufuatilia habari kuhusu Mwanasheria Mkuu kupata ukweli wa habari iliozagaa kuachia ngazi na kuwaeleza yeye hakujiuzulu na anaenfdelea na kazi yake.

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud akizungumza na waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kutaka kupata habari za kwamba inasemekana amejiuzulu Wadhifa wake na kusema yeye hakujiuzulu na anaendelea na kazi.

Waandishi wakiwa nma Mwanasheriac Mkuu akitokas Ofisini Kwake walipofika kupata habari jana mchana. baada ya kuenea kwa uvumi wa kujiuzulu kwake.kupitia mitandao ya Kijamii. 



Waandishi wakitoka Osifi za Mwanasheria Mkuu baada ya kupata ukweli.kutoka kwa Mwanasheria Mkuu Mhe Othman Masoud.  


Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment