dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, September 10, 2014

WHITHER ARE WE BOUND IN DMV?

TUNAENDELEA KUJIKUMBUSHA YALIYOJIRI KATIKA UCHAGUZI WAKIHISTORIA DMV

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi akitangaza matokeo, siku ya jumamosi  baada ya uhesabuji wa kura kukamilika
Mwenyekiti mteule Bw. Idd Sandal, akilisakata rumba na wafuasi wake baada ya kutangazwa anaongoza kwa kura nyingi zidi ya mpizani wake Bw. Libe Mwang'ombe.
 
furaha ilioje mpaka jino la mwisho unaliona, kweli ilikuwa furaha",tusherheke tufurahi ushindi ni wetu" maneno ya aunt Ashura hayo katika picha.
 
 Mama Ubao, au aunt Helewa kwa raha zake akisherehekea ushindi uliomrudisha tena Bw. Idd Sandal katika kipindi cha miaka miwili mingine ijao kuwatumikia wana DMV.
 Kaka Tumaini kwa hisia kali akiondoka kwa miondoko mepesi akisubiri matokeo kwa hamu.
 
 Dada Salma akipata nyepesi nyepesi katika kusubiri matokeo.
 
Chini na juu Bw. Idd Sandal akiwa amebeba tikiti maji lilinakshiwa "TIMU IDD" alilokabiziwa na farida catering baada ya kumshinda Bw. Libe Mwang'ombe. 
 

" Lazima tushereheke ushindi ni wetu" maneno ya wana DMV hayo.
 
Chanzo: Vijimambo

No comments :

Post a Comment