dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Wednesday, September 10, 2014

WHITHER ARE WE BOUND IN DMV??

UPOTOSHAJI WA VIJIMAMBO BLOG NA KILICHOTOKEA SIKU YA MKUTANO WA JUMUIA DMV SEP 7, 2014

Picha hii hapa chini ilitolewa na blog ya Vijimambo Jumanne, September 9, 2014 na maelezo yake ni haya "Liberatus Mwangombe akibishana na Bodi Memba". Huu ni opotoshaji na uongo wa hali ya juu unao letwa kwa hisani ya Blog ya Vijimambo; ukiangalia picha hii vizuri utaona Haroun Olotu akiwa amemsogelea Liberatus huku akimfokea. Angalia miguu ya Olotu, specifically kwenye magoti; hii inamaanisha kuwa Olotu alikuwa amesha "invide" space ya Liberatus ambaye amesukumwa hadi kwenye meza na hana "room" ya kurudi nyuma.







 Hapa Haroon Olotu akiwa kama mbogo aliye jeruhiwa akiendelea kumfokea Liberatus na kumnyima space.










 Juu na chini; Nyarugusu (Idd Green Guard), Mohamed Mabenzi, Ally Mikidadi, Abdul Makeo na Mussa Linga, wakiamuliwa wasimpige Dotto.


Huku Nyarugusu (Idd Green Guard), Ally Mikidadi, Abdul Makeo na Mussa Linga, wakiendelea kutaka kumpiga Dotto; Mohamed mabenzi akimnyoshea kidole Liberatus na kumtolea maneno ya kasfa, lakini Liberatus hakujibu chochote.




Tutaendelea kuwapa maelezo ya picha juu ya kilichotokea kadri Blog ya Vijimambo itakavyo endelea kupotosha. Tuna video pia ambazo ni nyingi tutazitoa muda muafaka ukifika.
Chanzo: Swahilivilla

No comments :

Post a Comment