dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, September 8, 2014

WHITHER ARE WE BOUND IN DMV???

Wanachama 28 walio hudhuria mkutano nje ya wanachama hai 586, na ni nje ya 430 walio piga kura.

BREAKING NEWS: MAHUDHURIO MKUTANO MKUU WA JUMUIA DMV YAKATISHA TAMAA

  • POLIS WAITWA KUTULIZA HALI YA HEWA
  • NJE YA WANACHAMA HAI 586, NI WANACHAMA 28 TU WAHUDHURIA
  • SOLOMON CRIS AULIZA SWALI KUHOJI UHALALI WA MKUTANO MKUU KWA KUKOSA 2/3


 Hamza Mwamoyo Menyekiti wa Board akihoja uhalali wa uchaguzi kwa kutokutolewa report ya fedha.

 Hapa ni baada ya Solomn Cris kuuliza maswali yaliyo kosa majibu na uongozi wa jumuia kuanza kumshambulia.

 Solomon na Dotto wakisema mkutano huu mkuu ni batili kwa kukosa 2/3 ya wanachama hai 586.

Solomn Cris na Dotto wakiwa na Polis ambapo mwisho wa maongezi waliombwa kuondoka ili kuzuia shari.


 Wengi bado wanaupinga uongozi wa Jumuia ya DMV kwa kukosa uhalali.

 Hapa ni baadaya ya watu wengi kutawanyika.


 Bado hakieleweki; watu wametoka nje.


Chanzo: Swahilivilla

1 comment :

  1. Whither are we bound in DMV????
    Suala zuri sana. Jibu ni we are bound for the garbage bin in DMV!!!
    Bw. Mwamoyo unahoji nini hapa juu? Wewe ndio culprit na ni sababu ya yoyote haya!!!

    ReplyDelete