Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 28, 2014

RUFIJI NAO HAWAPO NYUMA!

Makamu wa Rais Dkt.Bilal Afungua hafla ya kuchangia Miradi ya Maendeleo Jimbo la Rufiji.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua ghafla ya kuchangia miradi ya maendeleo ya Jimbo la Rufiji iliyofanyika jana jioni Octoba 26-2014 katika ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es salaam, ambapo jumla ya shilingi milioni 903 zilipatinana na kuweza kuvuka malengo ya zilizokuwa zikihitajika awali shilingi milioni 500.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambae pia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid wakati wa ghafla ya kuchangia miradi ya maendeleo ya Jimbo la Rufiji iliyofanyika jana jioni Octoba 26-2014 katika ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es salaam, ambapo jumla ya shilingi milioni 903 zilipatinana na kuweza kuvuka malengo ya zilizokuwa zikihitajika awali shilingi milioni 500.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Seif Rashid katikati wakiwa katika picha ya pamoja na wananchi waliochangia miradi ya maendeleo ya Jimbo la Rufiji iliyofanyika jana jioni Octoba 26-2014 katika ukumbi wa Serena Hotel jijini Dar es salaam, ambapo jumla ya shilingi milioni 903 zilipatinana na kuweza kuvuka malengo ya zilizokuwa zikihitajika awali shilingi milioni 500. (Picha na OMR)
Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment