Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, October 21, 2014

Zantel Yafanya Promosheni ya Kutoa Elimu ya Huduma za Matumi ya Ezypesa na Ofa za Muda wa Maongeze kwa Watejha.



Wakala wa Zatel  katika mitaa ya Zanzibar akitowa maelezi jinsi ya kujiunga katika Ezypesa na huduma ya kununua umeme kupitia Ezypesa na kujiunga katika mitandao na vifurushi vya Bpakabasi kwa Wateja wa Zantel Zanzibar.
Wakala wa Kampuni ya simu ya Zatel akitowa maelezo kwa wateja wa Zantel wakati wa kujiunga na Ezypesa kupitia simu zao ili kuweza kupata huduma hiyo kwa kununua umeme wa Tukuza na kujiunga na Ofa mbalimbali za Zantel ikiwemo ya Mpakabasi.
Afisa wa Zantel Zanzibar akimfahamisha mteja wa Zantel jinsi ya kujiunga na Ofa za Zantel kupitia simu yake kuweza kujiunga na Ofa ya Mpakabasi. Mpromosheni hiyo imefanyika kwa wateja wa Zanzibar kupata fursa hiyo ya kuelewa huduma zinazotolewa na Kampuni ya Simu ya Zantel kwa wateja wake.
Wateja wa Zantel wakiuliza masuali kwa Maofisa wa Zantel wakati swakitowa maelezo ya kujiunga na Ofa mbalimbali ikiwemo na kujiunga na Ezypesa kuweza kupata huduma ya kununua umeme wa Tukuza wakati wowote kwa masaa 24. Bila gharama yoyote.
Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment