Abdulrahman Mohammed Hafidh akiwa katika pozi wakati alipohudhuria mahafali ya 10 ya SUZA ambapo alitunukiwa cheti cha mwanafunzi bora katika sekta ya Sayansi ya Kompyuta ngazi ya cheti ( Certificate level) na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein
Abdulrahman Mohammed Hafidh akiwa na cheti chake cha mwanafunzi bora katika sekta ya sayansi ya Kompyuta aliyoipokea kutoka kwa Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein.
Abdulrahman akipatiwa maelekezo ya jinsi anavyotakiwa kufanya kabla ya kwenda kukabidhiwa tunzo yake ya mwanafunzi bora
Wahitimu waliohudhuria mahafali ya 10 ya SUZA wakielekea sehemu ya mahafali kwenye kampasi ya SUZA Tunguu
Abdulrahman Mohammed Hafidh akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wengine na Walimu wake pamoja na mzazi wake
Abdulrahman Mohammed Hafidh akiwa na ndugu yake baada ya kutunukiwa cheti cha mwanafunzi bora katika Sekta ya sayansi ya Kompyuta kwenye mahafali ya 10 ya SUZA hivi karibuni. Kushoto ni baba yake Dk Mohammed Hafidh na kulia ni mama yake mzazi.
Chanzo: ZanziNews
No comments :
Post a Comment