Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) akisaini kitabu cha wageni Ofisini kwa Mwakilishi wa Kudumu Balozi Tuvako Manongi (kulia). Mhe. Nahodha alikuwa Nchini Marekani kwa ziara ya kikazi.
Karibu na ahsante kwa kuja kututembelea" Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akimkaribisha Mhe. Shamsi Vuai Nahodha ( Mb) katika Ofisi za Tanzania Umoja wa Mataifa.
No comments :
Post a Comment