Tanzania's flamboyant President Jakaya Mrisho Kikwete
- too corrupt to be Commander-in-Chief!
- too corrupt to be Commander-in-Chief!
Tathmini
yetu juu ya Rais Kikwete baada ya hotuba yake ya jana ni kuwa HAFAI kutuongoza Watanzania na tushukuru Mungu kuwa mwakani anamaliza muda wake!
Katika vita vyetu na Iddi Amin Daddah katika miaka 1970’s, kama yeye angelikuwa ndio Commander-in-Chief
kama alivyo sasa, basi Kagera leo
ingelikuwa chini ya Uganda!
No comments :
Post a Comment