Maktaba sehemu ya watoto imewekwa michezo mingi ya kitoto kama jahazi hii ndogo. Watoto wakijisikia wanataka kucheza hucheza humo humo ndani ya Maktaba.
Bi Christin akitoa maelezo ya kina juu ya maktaba. Wengine katika picha ni diwani bi, Zawadi na mwalimu mkuu wa sekondari ya Makunduchi ndugu Kinore.
Diwani Zawadi akiwa na ndugu Mohd Simba wakitafakari namna gani wadi za Makunduchi zitafikia malengo yake ya kuwa na Maktaba.
Bi Christin na mwalimu Hafith wakitafakari jambo ndani ya Maktaba ya Manispaa.
Chanzo: ZanziNews
No comments :
Post a Comment