Sheikh Fadhil bin Juma akizungumza wakati wa kuanza du'aa ya kuiombea na kuitakia amani Zanzibar. Shughuli hii ilifanyika katika Masjid Muhammad, Mombasa kwa mchina leo.
Baadhi ya mashaaikh waliohudhuria duaa ya kuiombea na kuitakia amani Zanzibar.
Viongozi wa kidini nao pia walikuwepo katika duaa ya kuiombea na kuitakia amani Zanzibar.
Waumini wa dini wa kiislamu waliohudhuria duaa ya kuiombea na kuitakia amani Zanzibar wakisikiliza kwa makini nasaha kutoka kwa Mashekhe.
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakisikiliza duaa pamoja na kuitikia wakiwa katika hali ya unyenyekevu na utulivu.
Sheikh Ali Bakari na Sheikh Fadhil Juma wakisoma duaa ya kuiombea na kuitakia Zanzibar Amani iliyofanyika Masjid Muhammad kwa mchina leo.






No comments :
Post a Comment