Wimbo huu unawafariji wafiwa na Watanzania kwa ujumla katika kipindi hiki cha msiba wa ailyekuwa mbunge wa Mbinga Mhe. John Komba.
Wasanii wa kizazi kipya waungana kuimba na kuifariji familia ya Mhe. John Komba pamoja na Watanzania kwa ujumla. Tazama.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ,Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Singida Martha Mlata wakishirikiana na mwanamuziki mkongwe King Kikii, Lwiza Mbutu na wasanii wengine kuimba wimbo maalum wa kumuenzi marehemu Kapteni John Komba wakati wa kutoa heshima za mwisho kwenye viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Tarehe 2 Machi 2015
No comments :
Post a Comment