zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Saturday, April 4, 2015

JAJI MKUU ZANZIBAR ATEMBELEA MAHAKAMA PEMBA

JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu wa pili kulia akiangalia matengenezo ya jengo la mahakama ya Mkoa Chakechake wa mwanzo kulia ni Naibu mrajisi wa mahakama kuu Zanzibar Mhe, Ali Ameir, jengo ambalo linafanyiwa matengenezo makubwa hivi.

MFANYAKAZI wa mahakama ya mwanzo Kengeja Mgeni Abdalla akielezea matatizo yanayowakabili katika mahakama yao, mbele ya Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe, Omar Othman Makungu wakati alipotembelea mahakama hiyo kujua matatizo yao yanayowakabili.

HAKIMU wa Mahakama ya Wilaya Mkoani Is-haka Ali (kulia) akitoa muhtasari wa taarifa ya utendaji wa kazi katika mahakama hiyo kwa jaji mkuu wa Zanzibar Mhe, Omar Othman Makungu wa mwanzo kushoto alipofika katika mahakama hiyo katikati ni naibu mrajisi wa mahakama Mhe. Ali Ameir.
(Picha na Ameir Khalid, PEMBA)

No comments :

Post a Comment