airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, April 10, 2015

MHESHIMIWA ALHAJ ALI HASSAN MWINYI, RAIS MSTAAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KUWA MGENI RASMI KWENYE TAMASHA LA CHAUKIDU APRIL 23

MKUTANO KUANZA ASUBUHI, HOWARD UNIVERSITY (9:00AM-5:00PM)  NA TAMASHA JIONI HOLLYWOOD BALLROOM (7:00PM-12:00 AM))

Njoo ujumuike na wapenzi wa Lugha ya Kiswahili na kupata chakula cha Kiafrika, vinywaji, burudani ya muziki kutoka kwa gwiji Master DJ Luke na maonyesho kadhaa ya wasanii, wakiwemo Anna Mwalaghona, AJ Ubao, katika Tamasha la kipekee Washington DC, April 23, 2015.
Nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411 (Tumaini), 301-793-2833 (Asha) na 202-830-6555 (Dr. Magembe) kununua tiketi yako mkononi.

 Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Njoo ujumuike na wapenzi wa Lugha ya Kiswahili pamoja na kupata chakula cha Kiafrika, vinywaji, burudani ya muziki kutoka kwa gwiji Master DJ Luke na maonyesho kadhaa ya wasanii, wakiwemo Anna Mwalagho na AJ Ubao, katika Tamasha la kipekee Washington DC, April 23, 2015.

Nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411(Tumaini), 301-793-2833 (Asha) na 202-830-6555 (Dr. Magembe) kununua tiketi moja kwa moja mkononi.

TIKETI HAZITAUZWA MLANGONI.
Chanzo: Vijimambo

No comments :

Post a Comment