zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, April 2, 2015

Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Mhe BHAA Akanusha Tuhuma yaGari lake kuhusika na kuwashambulia Wanachama wa CUF na Watu wasiojulika

Mwakilishi wa Jimbo la Bububu Zanzibar Mhe Hussein Ibrahim Makungu akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na tuhuma zanazoenezwa 
kwamba gari lake aina ya fuso kuhusika na kuwashambulia Wanachama wa CUF wakati wakirudi Mkutanoni makunduchi, Akitowa maelezo kwa waandishi wa habari katika ukumbi wa salama bwawani amesema gari hiyo iliotumika katika tukio hilo haiko katika milki yake, hiyo gari iliohusisha na tukio hilo aliiuzwa karibu sasa miaka minane na kumulikiwa na mtu mwengine akiwa bado hajalifuta jina la Bhaa Staily. Amesema analaani kitendo hicho waliofanyiwa wananchi hao.
Mhe. Hussein Ibrahim Makungu, akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo na kusema gari lajimbo siku hiyo halikutoka kwenda popote na kuegeshwa katika hospitali ya Kibweni KMKM, anashangaa kusikia kauli hiyo ya kulihusisha gari hilo na tukio na kueleza kwa waandishi wa wahabari Zanzibar 
Waandishi wakifuatilia kwa makini mazungumzo ya mkutano huo na Mhe Hussein Ibrahim Makungu BHAA.katika ukumbi mdogo wa salama bwawani Zanzibar,

Waandishi wakifuatilia kwa makini mazungumzo ya mkutano huo na Mhe Hussein Ibrahim Makungu BHAA.katika ukumbi mdogo wa salama bwawani Zanzibar,

Chanzo: ZanziNews

No comments :

Post a Comment