zanglassworks

AirFreight

Kwarara Msikitini

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, July 19, 2015

Mama Mwanamwema Shein, Awatembelea Wazee wa Welezo na Sebleni Kuwapa Mkono wa Eid Mubaraak.

 Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwasili katika Makaazi wa Wazzee Welezo kwa ajili ya kuwatembelea na kuwapa mkono wa Eid Mubaraak.akiwa na Kiongozi wa Kijiji hicho cha Wazee Welezo Sister Gemma Rodrigues.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapndui akizungumza na Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo Unguja alipofika kuwatembelea na kutoa mkono wa Eid Mubaraak kwa Wazee hao  
Wazee wa Kijiji cha Wazee Welezo wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar akiwahutubia wakati alipofika katka makaazi ya Wazee kuwajulia hali na kuwapa mkono wa Eid. 
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimjulia hali Mzee Ali Seif  wa Welezo wakati alipofika kuwatembelea na kutoa mkono wa Eid katika makaaazi yao Welezo Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akitowa mkono wa Eid Mubaraak kwa Wazee wa Kijiji cha Welezo Zanzibar alipofika kuwatembelea na kutoa mkono wa Eid kwa Wazee hao.
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mawanamwema Shein, akimpa mkono wa Eid Bi Maryam  Maganga, ni mmoja wa Wazee wanaoishi katika Kijiji cha Wazee Welezo Zanzibar , katikati Sister Calista Urasa. Mlezi wa Wazee hao.




 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akitoa Mkono wa Eid kwa Wazee wa Nyumba ya Wazee Sebleni alipofika kuwatembelea jana na kutoa mkono wa Eid.





No comments :

Post a Comment