Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, August 17, 2015

IS ZANZIBAR UKAWA LAND?

Mkutano wa kuwatambulisha wagombea wa UKAWA Kibandamaiti

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe. Edward Lowassa, akisalimiana na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Zanzibar.


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mhe. Adward Lowassa, akihutubia katika viwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar.


Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya Kibandamaiti Mjini Zanzibar.

Baadhi ya wananchi jamii ya kimasai waliopo Zanzibar, walivyojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa UKAWA kumuunga mkono mgombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA Mhe. Edward Lowassa.


Wanachama na wapenzi wa vyama vinavyounda UKAWA, walivyojumuika kwenye mkutano huo uliofanyika Kibandamaiti.


Wanachama na wapenzi wa vyama vinavyounda UKAWA, walivyojumuika kwenye mkutano huo uliofanyika Kibandamaiti.



Wanachama na wapenzi wa vyama vinavyounda UKAWA, walivyojumuika kwenye mkutano huo uliofanyika Kibandamaiti




                                

Baadhi ya viongozi wakuu wa UKAWA, wakijitambulisha kwa wananchi wa Zanzibar kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Kibandamaiti. (Picha na Salmin Said, OMKR)
/ZanziNews

No comments :

Post a Comment