BAADHI ya wafuasi wa Chama cha wananchi CUF na wananchi wengine wa Jimbo la Chambani wilaya ya Mkoani Pemba, waliohudhuria katika hafla ya ugawaji wa vifaa mbali mbali, vikiwemo dawa, vifaa vya ujenzi na michezo vilivyotolewa na viongozi wa Jimbo hilo na CUF taifa, hafla hiyo ilifanyika uwanja wa Kwamtora Jimboni humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba)

BAADHI ya vifaa vya michezo vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Chambani Wilaya ya Mkoani Pemba Mhe: Yussuf Salim Hussein, ambapo baadae viligawiwa kwa vilabu zaidi ya 40 vya soka vya Jimbo hilo, katika hafla iliofanyika uwanja wa Kwamtaora jimboni humo, (Picha na Haji Nassor, Pemba)

BAADHI ya misahafu 5000 iliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Chambani wilaya ya Mkoani Pemba Mhe: Yussuf Salim Hussein kwa ajili ya madrassa zote zilizomo Jimboni humo, hafla ya kukabidhi misahafu pamoja na vifaa vyengine vya tiba ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
DAWA na vifaa vyengine kwa ajili ya matibabu ya mwanadamu, zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Chambani wilaya ya Mkoani Pemba, ili visambaazwe hospitali zote za Jimbo hilo, hafla ya kukabidhi vifaa hivyo pamoja na vya michezo ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MWENYEKITI wa CUF Wilaya ya Mkoani Pemba, Rashid Saleh Mohamed akifungua mkutano wa hadhara uliofanyika uwanja wa Kwamtora, ambao uliambatana na ugawaji wa vifaa mbali mbali ikiwa ni pamoja na dawa, vifaa vya ujenzi na vya michezo vilivyotolewa na viongozi wa Jimbo la Chambani na CUF taifa, mkutano huo ulifanyika uwanja wa Kwamtora, ( Picha na Haji Nassor, Pemba)
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe: Hamad Massoud Hamad akimkabidhi misahafu 5000 mwalimu wa Madrasaa kutoka Tumbi, kwa ajili ya kuigawa kwa madrassa zote za Jimbo hilo, pamoja na misahafu hiyo, pia kulitolewa juzuu 4400 na Mbunge wa Jimbo la Chambani Mhe: Yussuf Salim Hussein, hafla hiyo ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe: Hamad Massoud Hamadi akimkabidhi vifaa vya tiba na dawa za matumizi ya mwanadamu, dk Ali Habibu kwa ajili ya kugawiwa kwa hospitali zote za Jimbo la Chambani, vifaa hivyo pamoja na vyengine vilitolewa na viongozi wa Jimbo hilo na CUF taifa,(Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe: Hamad Massoud Hamadi, akimkabidhi mashine ya kupigia matofali kiongozi wa kikundi cha kupiga matofali cha Ukutini, vifaa hivyo pamoja na vyengine vilitolewa na mbunge wa Jimbo la Chambani Mhe: Yussuf Hussein Salim, hafla hiyo ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe: Hamad Massoud Hamad akimkabidhi tanki ya kuhifadhi maji kwa kikundi cha mboga mboga cha Sebubanwa Jimbo la Chambani, lilitolewa na Mbunge wa Jimbo la Chambani Mhe: Yussuf Salim Hussein, hafla hiyo ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe: Hamad Massoud Hamad akimkabidhi mipira mitano kwa ajili ya gari chama, Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Mkoani, Rashid Salehe Mohamed, iliotolewa na Mbunge wa Jimbo la Chambani Mhe: Yussuf Salim Hussein, hafla hiyo ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
MJUMBE wa baraza kuu la CUF taifa Mhe: Hamad Massoud Hamad akimkabidhi vifaa vya michezo, Katibu wa klabu ya Cossovo ya Wambaa Mohamed Abass Mohamed, vifaa vilivyotolewa na Mbunge wa Jimbo la Chambani Mhe: Yussuf Salim Hussein, hafla hiyo ilifanyika uwanja wa Kwamtora, (Picha na Haji Nassor, Pemba).
/ZanziNews
No comments :
Post a Comment