Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Sunday, August 2, 2015
NYUMBANI NA DIASPORA TBC1- EPISODE SIX
Nyumbani na Diaspora!
Ni kipindi kipya cha saa nzima chenye kuhusiana na Watanzania wa nyumbani na walio nje ya mipaka yetu. Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa. Ni kipindi kitakachoongozwa na mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli hapa nchini. Si mwingine ni Maggid Mjengwa. Jiunge nae kufuatilia mahojiano motomoto na watu wa kada tofauti kwenye masuala ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kitamaduni. Ni kila siku ya Ijumaa saa 4 usiku na marudio Jumapili saa kumi jioni, hapa hapa TBC 1, ukweli na uhakika!
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment