Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Thursday, August 6, 2015

POWER RATIONING IN ZANZIBAR!

Mgao wa Umeme Unguja kwa Muda wa Siku 15

TAARIFA YA MGAO WA UMEME

SHIRIKA LA UMEME ZANZIBAR LIMESEMA KUWA KUANZIA KESHO ALHAMIS KUTAKUA NA MGAO WA UMEME WAKATI WA MCHANA UTAKAODUMU KWA MUDA WA SIKU KUMI NA TANO KISIWANI UNGUJA.

KWA MUJIBU WA TAARIFA ILIYOTOLEWA NA SHIRIKA HILO IMESEMA KUWA MGAO HUO UTAKUA NI WA MASAA MAWILI NA NUSU KWA LAINI ZITAKAZOHUSIKA NA UTAKUWA KWA SIKU ZA JUMANNE NA ALHAMIS.

TAARIFA HIYO IMEFAFAFANUA SABABU YA MGAO HUO NI KUTOKANA NA MAJARIBIO YA KUUNGANISHWA GRIDI YA TAIFA NA MITAMBO YA GESI YA KINYEREZI MAJARIBIO YANAYOFANYIKA HUKO TANZANIA BARA.

TAARIFA HIYO IMEZIDI KUFAFANUA KUWA KUTOKANA NA MAJARIBIO HAYO KUTAPELEKEA KUZIMWA MITAMBO INAYOTUMIKA SASA JAMBAO AMBALO LITAPELEKEA KUPATIKANA KWA KIWANGO KIDOGO CHA UMEME.MAJARIBIO HAYO YANATARAJIWA KUFANYIKA KUANZIA SAA 2 ASUBUHI HADI SAA 12 JIONI KWA SIKU ZA JUMANNE NA ALHAMIS.

No comments :

Post a Comment