Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, August 31, 2015

Rais wa Zanzibar Dk Shein Azindua Mfuko wa Maendeleo ya Zao la Karafuu Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizundua Mfuko wa Maendeleo ya Zao la Karafuu Zanzibar kwa kukata utepe kuashiria kuzindua Mfuko huo na kukabidhi Shirika la Bima Zanzibar Cheki ya shilingi milioni 60 kwa ajili ya mfuko huo kulipa Bima kwa Wakulima watakaoanguka katika mikarafuu wakati wa uchumaji.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheki ya shilingi milioni 60 Mkurugenzi Mtendaji wa SAhirika la Bima Zanzibar Ndg Abdulnasir Ahmeid kwa ajili ya kuweka Bima yac Mfuko huo kwa Wakulima wa Zao la Wakarafuu kulipwa fidia wanapopata ajali ya kuangua katika mikarafuu wakati wa uchumaji wa zao hilo.   
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi Cheki ya Mchango wa Bima kwa Ajili ya Mfuko wa Maendeleo ya Zao la Karafuu Zanzibar Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima Zanzibar Abdulnasir Ahmed, wakati wa uzinduzi wa mfuko huo uliofanyika katika viwanja vya kiwanda cha makonyo Wawin Pemba.
Mkurugenzi Muendeshaji wa Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar ZSTC Mwanahija Almas akitowa maelezo ya Mfuko huo kwa Rais wa Zanzibar wakati wa Ufunguzi wa Mfuko huo uliofanyika katika viwanja vya kiwanda cha makonyo wawi Pemba. 
 Katibu Mkuu Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko Zanzibar Raphael Julian, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Zao la Karafuu Zanzibar kabla ya kumkaribisha Waziri wa Biashara Zanzibar.
Waziri wa Biashara Viwanda Masoko Zanzibar Mhe Nassor Ahmed Mazrui, akihutubia wakati wa hafla hiyo na kuwatambulisha Wanunuzi wa Karafuu kwa Rais wa Zanzibar Dk Shein, wakati wa ufunguzi huo. na kumkaribisha Rais wa Zanzibar kuzungumza na Wananchi na Wakulima wa Karafuu Pemba.
 Baadhi ya Wananchi wakifuatilia hafla hiyo ya uzinduzi wa Mfuko wa Maendeleo wa Zao la Karafuu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mnunuzi wa Karafuu kutoka Kampuni ya Nomanbhoy &Company Singapore,Mr. Hanif Moesz, wakati wa hafla hiyo ya kuzindua Mfuko wa Maendeleo wa Zao la Karafuu Zanzibar zilixzofanyika katika kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mnunuzi wa Karafuu kutoka kampuni ya Brooks General Trading Dubai, Mr.Vishal Chabria, wakati wa hafla hiyo ya kuzindua Mfuko wa Maendeleo wa Zao la Karafuu Zanzibar zilixzofanyika katika kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi Pemba. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mnunuzi wa Karafuu kutoka Kampuni ya Afcom Tranding Co Dubai,Mr.Irphan Hassan, wakati wa hafla hiyo ya kuzindua Mfuko wa Maendeleo wa Zao la Karafuu Zanzibar zilixzofanyika katika kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi Pemba. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mnunuzi wa Karafuu kutoka Kampuni ya Ushachem Co Mumbai  India Mr.Karan Kulchandani, wakati wa hafla hiyo ya kuzindua Mfuko wa Maendeleo wa Zao la Karafuu Zanzibar zilixzofanyika katika kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi Pemba.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mnunuzi wa Karafuu kutoka Kampuni ya Novena Trading Co, Mombasa Kenya Mr. Saleh Bawazir, wakati wa hafla hiyo ya kuzindua Mfuko wa Maendeleo wa Zao la Karafuu Zanzibar zilizofanyika katika kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi Pemba. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mnunuzi wa Karafuu kutoka Kampuni ya Zanj Spice Zanzibar Mr.Farouk, wakati wa hafla hiyo ya kuzindua Mfuko wa Maendeleo wa Zao la Karafuu Zanzibar zilizofanyika katika kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi Pemba. 
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mnunuzi wa Karafuu kutoka Kampuni ya East Africa Commidieties Zanzibar,Mr. Haji Nasib Nyanya, wakati wa hafla hiyo ya kuzindua Mfuko wa Maendeleo wa Zao la Karafuu Zanzibar zilizofanyika katika kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi Pemba. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mnunuzi wa Karafuu kutoka Kampuni ya TAZOP Zanzibar Mr. Khamis Issa, wakati wa hafla hiyo ya kuzindua Mfuko wa Maendeleo wa Zao la Karafuu Zanzibar zilizofanyika katika kiwanda cha mafuta ya makonyo Wawi Pemba. 













/ZanziNews.

No comments :

Post a Comment