Waziri wa Fedha, Saada Mkuya alipowasili Ofisi za tume ya uchafguzi kwa ajili ya kuchukua fomu za kugombea Ubunge jimbo jipya la QWelezo na kuiahidi kuleta maendeleo katika jimbo hilo la WELEZO.
Waziri wa Fedha , Saada mkuya akitia saini wakati wa kukabidhiwa fomu za kugombea Ubunge jimbo jipya la Welezo
Afisa wa Uchaguzi akitoa maelezo kumpatia Waziri Saada Mkuya ya namna ya ujazaji wa fomu za kuwania Ubuinge.
/Zanzinews
No comments :
Post a Comment