Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, September 29, 2015

Kutana na jogoo aliye na uzani wa kilo 8!


Je, unaweza amini kuwa kuna aina ya jogoo humu nchini mwenye uzani wa kilo 8? Amini usiamini jogoo huyo aina ya rainbow ambaye asili yake ni nchi ya India, na ambaye anafugwa hapa nchini na kampuni moja ya humu nchini, amezuiliwa kujaamiana na kuku wa kawaida ambao uzani wao huwa kilo 2 hadi 3, kwa minajili ya usalama wao asije akawavunja mabawa au kuwajeruhi.

No comments :

Post a Comment