dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, September 11, 2015

Makamu wa Rais Dkt.Bilal Atembelea na Kukagua Maendeleo ya Mradi ya Maji Kata ya Kigunda Wilaya ya Kaskazini Unguja.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikagua moja kati ya Visima vinne vya Maji safi na salama wakati alipofika katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya Kaskazini A Unguja kwa ajili ya kukagua mradi huo wa maji, leo Sept 10, 2015. Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Makame Madina
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoka kukagua  moja kati ya Visima vinne vya Maji safi na salama wakati alipofika katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya Kaskazini A Unguja kwa ajili ya kukagua mradi huo wa maji, leo Sept 10, 2015. Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Kigunda, baada ya kukagua mradi wa Maji safi na salama katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya Kaskazini A Unguja kwa, leo Sept 10, 2015. Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia moja ya Kompyuta za kufundishia wanafunzi wa Shule ya Msingi Kigunda, wakati alipofika katika Kijiji cha Kigunda Wilaya ya Kaskazini A Unguja kwa ajili ya kukagua mradi wa maji, leo Sept 10, 2015. Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Kushoto ni Katibu wa Kamati ya Maendeleo wa Kijiji hicho, Makame Vuai.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia Msingi wa Msikiti wa Shule ya Msingi Kigunda, baada ya kukagua mradi wa Maji safi na salama  unaosimamiwa na Kijiji hicho ambao umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Makame Madina
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kijiji cha Bwereu, Juma Nyange Omari, wakati alipofika kukagua moja kati ya Visima vinne vya Maji safi na salama wakati wa ziara yake ya kutembelea mradi huo katika Vijiji vya Kigunda na Bwereu Wilaya ya Kaskazini A Unguja, leo Sept 10, 2015. Mradi huo unaosimamiwa na Kijiji hicho umegharamiwa na Mhe. Makamu wa Rais kutokana na maombi ya wananchi hao waliokosa maji kwa miaka mingi. Picha na OMR

No comments :

Post a Comment