Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, October 18, 2015

Dk Shein Tawi jipya la CCM Mombasa kwa Mchina!

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Tawi jipya la Mombasa kwa Mchina Bi.Subira Kahlan Uruwa wakati alipowasili katika viwanja vya Tawi hilo kwa ajili ya kulifungua rasmi leo,(katikati) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja kichama Yussuf Mohamed Yussuf,[Picha na Ikulu.]


  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepekulifungua tawi Jipya la CCM Mombasa kwa Mchina leo,(kulia) Mwenyekiti wa Ujenzi wa Tawi hilo Ahmada Yahya Abdulwakil na (kushoto) Mwenyekiti wa Tawi Bi.Subira Kahlan Uruwa,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Taarifa ya ujenzi kutoka Mwenyekiti wa Ujenzi wa Tawi la CCM Mombasa kwa Mchina  Ahmada Yahya Abdulwakil (kulia) baada ya kutoa maelezo ya ujenzi huo katika sherehe za Ufunguzi rasmi uliofanyika leo Tawini hapo,[Picha na Ikulu.]
 Mwenyekiti wa Tawi jipya la CCM la Mombasa kwa Mchina Bi.Subira Kahlan Uruwa alipokuwa akiwasalimia wanachama na wananchi pamoja na kumkaribisha Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Yussuf Mohammed Yussuf ili nae amkaribishe Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na Wanachama na wananchi,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea zawadi kutoka kwaMwenyekiti wa Tawi jipya la CCM la Mombasa kwa Mchina Bi.Subira Kahlan Uruwa  wakati sherehe za Ufunguzi wa tawi hilo leo,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi wakati wa sherehe za Ufunguzi wa Tawi jipya la Mombasa kwa Mchina uliofanyika leo na kuhudhuriwa na Viongozi na Wanacha mbali mbali walioalikwa katika sherehe hizo,[Picha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment