Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Sunday, October 18, 2015

HII NI KALI SANA KWA LEO!!!!

Default Lowassa is genius!

Lowassa kutokuijibu TWAWEZA juu ya presidential debate ni kuifunga CCM bao 1 bila.

Twaweza wangecheza rafu tu. Kwanza hawaaminiki na lapili wangeshirikiana na CCM ili Lowassa apate kuanguka.

Kwenye logo yao Twaweza wenyewe wanajiandika ……TWAWEZA ni sisi, in fact wanakusudia kuandika TWAWEZA ni sisim, yaani ni ccm. Sasa wanaweza kuaminika hao?

Bado siku 7 tu. Tunakuomba mzee wetu Lowassa ubakie hivyo hivyo mahiri mpaka kifilimbi cha mwisho!


No comments :

Post a Comment