Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, October 2, 2015

Mkutano wa Kampeni wa CCM Kiwani Pemba

 Wananchi waliovalia sare za fulana zenye sura ya mgombea Ubunge jimbo la Mkoani Prof.Makame Mbarawa  wakati walipokuwa wakiingia katika uwanja wa Mkutano wa hadhara uliofanyika leo Kiwani wilaya ya Mkoani Pemba,[Picha na Ikulu.]
 Wazee wa Chama cha Mapinduzi katika kijiji cha Kiwani Wilaya ya mkoani Mkoa wa Kusini pemba wakiwa wamevalia sare ya fulana yenye sura ya Mgombe Urais wa Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein zinazotoa ujumbe kura kwa Shein 2015 katika mkutano wa hadhara jimbo la Kiwani leo katika uwanja wa Mpira,[Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia Mkono wananchi na wanachama wa CCM alipowasili katika uwanja wa mpira Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba leo katika mkutano wa hadhara wa kampenzi za CCM zinazoendelea,[PIcha na Ikulu.]
 Baadhi ya Viongozi walioungana na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM wakiwa katika uwanja wa Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika jimbo la Kiwani katika kijiji cha Kiwani ikiwa ni mfululizo wa kampeni za CCM zinazoendelea,Picha na Ikulu.]
 Viongozi wa Chama cha Mapinduzi  walioungana na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM wakiwa katika uwanja wa Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika jimbo la Kiwani katika kijiji cha Kiwani ikiwa ni mfululizo wa kampeni za CCM zinazoendelea,Picha na Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai wakati wa mkutano wa hadhara wa kampenzi za CCM zilizofanyika leo katika uwanja wa mpira Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,(wengine) balozi Ali Karume na Waziri Kiongozi Mstaafu Shamsi Vuai Nahodha(kulia).[PIcha na Ikulu.]



Viongozi mbali mbali wa Chama cha Mapinduzi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akihutubia wananchi na wana CCM wa Jimbo la Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba katika mkutano wa Hadahara uliofanyika leo uwanja wa Mpira Kiwani,[Picha na Ikulu.]
 Waangalizi wa uchaguzi waliohudhuria katika mkutano wa kampeni za CCM Jimbo la Kiwani wakizungumza na Mwandishi wa Habari wa gazeti la zanzibarleo Haji Nassor Pemba,{picha na Ikulu.]
 Aliyekuwa Balozi Jumuiya ya Nchi za Afrika Nchini Marekeni Bi. Amina Salum Ali allipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wakati alipokuwa akiwaombea Kura wagombea nafasi mbali mbali wa CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo uwanja wa Mpira Kijiji cha Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba,{Picha na Ikulu.]
 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC Dk. Mauwa Daftari allipokuwa akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi Jimbo la Kiwani wakati alipokuwa akiwaombea Kura wagombea nafasi mbali mbali wa CCM katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo uwanja wa Mpira Kijiji cha Kiwani Mkoa wa Kusini Pemba,{Picha na Ikulu.]
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza na wananchi na wanachama wa CCM  katika mkutano wa hadhara wa kampenzi za Chama hicho zilizofanyika leo uwanja wa mpira Kiwani Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,[PIcha na Ikulu.]

No comments :

Post a Comment