Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, October 16, 2015

Mtandao mpya wa Simu wa Halotel wazindua huduma zao mtaa wa Malindi

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Simu ya HALOTEL Zanzibar Le Duy Duong akitoa maelezo juu ya mtandao huo kwa wageni waliohudhuria  uzinduzi wa Kampuni  mpya ya Simu za mkononi hapa Zanzibar ya HALOTEL.
 Baadhi ya mawakala wa kampuni ya HALOTEL na walikwa wakifuatilia maelezo ya uzinduzi wa mtandao huo kwa Mgeni rasmin (hayupo pichani) katika sherehe zilizofanyika Malindi Mjini Zanzibar.
 Naibu Waziri wa Miundo Mbinu na Mawasiliano Zanzubar Mhe. Issa Haji Gavu akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmin wa Mtandao wa Simu za mkononi wa HALOTEL uliozinduliwa Oct 15 2015 Malindi Mjini Zanzibar (kulia) Mkurugenzi wa Kampuni ya HALOTEL Zanzibar Le Duy Duong na (kushoto) Naibu Mkurugenzi wa HALOTEL Zanzibar Abdalla Iddi Abdalla.
 Baadhi ya wateja waliofika Duka la kuuzia bidhaa mbalimbali za kampuni mpya ya Sim za kihanjani ya HALOTEL wakipata maelezo kutoka kwa mfanyazi wa Kampuni hiyo.
 Meneja wa Duka la kuuzia bidhaa za kampuni ya HALOTEL Amar Ghalib Omar (alievaa suti nyeusi) akimunyesha Mgeni rasmin bidhaa zinazopatikana  katika Duka hilo liliopo Malindi Mjini Zanzibar.
  Mgeni rasmin Waziri wa Miundo Mbinu na Mawasiliano Zanzubar Mhe. Issa Haji Gavu (wakatikati waliokaa kushoto) wakisubiri kupatiwa huduma Dukani hapo.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Simu ya HALOTEL Zanzibar Le Duy Duong akimpa zawadi Mgeni rasmin Naibu Waziri wa Miundo Mbinu na Mawasiliano Zanzubar Mhe. Issa Haji Gavu mara baada ya uzinduzi wa Kampuni hiyo.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Sim ya HALOTEL wakifurahia uzinduzi rasmin wa Mtandao huo. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

/ZanziNews.

No comments :

Post a Comment