Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Monday, October 5, 2015
Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete apokelewa kwa hadhi ya juu katika Ikulu ya Rais!
Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete mapema leo alipokea mapokezi ya hadhi ya juu kwenye ikulu ya Rais hapa jijini nairobi baada ya kumtembelea Rais Uhuru Kenyatta. Rais Kikwete ambaye yuko humu nchini kwa ziara ya siku tatu amepangiwa kuhutubia wabunge na maseneta kwenye kikao cha pamoja bungeni hapo kesho alasiri. Dennis Matara anatujuza zaidi.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment