Mhe Lukuvi HAFAI kuwa Waziri Mkuu. Msikilize alipotoa kauli yenye utata kanisani!
Aliekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge / awamu ya 4), William Lukuvi akitoa kauli ya kichochezi katika Kanisa la Methodist wakati wa kumsimika uaskofu, Askofu Mteule, Joseph Bundara.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment