Brassband ya vijana Chake chake Pemba, wakiongoza maandamano ya amani, yaliotayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, tawi Pemba, kwenye maadhimisho yasiku ya haki za binadamu duniani, ambapo kwa Pemba kitaifa yalifanyika skuli ya maandalizi Madungu Chakechake,
Mfawadhi wa Tume ya haki za binadamu na utawala bora ofisi ya Pemba, Suleiman Salim Ahmad alienyoosha mkono, ishara ya kupokea maandamano ya amani, yaliotayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, tawi Pemba, kwenye maadhimisho ya siku ya haki za binadamu duniani, ambapo kwa Pemba, yalifanyika skuli ya maandalizi Chakechake,
Wasanii wa kikundi cha maigizo cha YUNA klab kutoka Wete, kikitoa onyesho la mchezo wenye lengo la kupiga vita rushwa, pale jamii inapovyonjiwa haki zao na athari wa Polisi wanaopindisha kesi, wakati wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu yaliofanyika skuli ya maandalizi Madungu Chake chake.
Mratibu wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed akiwatunza wasoma utenzi Najma na Najat, ikiwa ni sehemu ya shamra shamra, kwenye maadhimisho ya siku ya haki za binadamu, yaliofanyika skuli ya maandalizi Madungu.Wasanii wa kikundi cha maigizo cha YUNA klab kutoka Wete, kikitoa onyesho la mchezo wenye lengo la kupiga vita rushwa, pale jamii inapovyonjiwa haki zao na athari wa Polisi wanaopindisha kesi, wakati wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu yaliofanyika skuli ya maandalizi Madungu Chake chake.
Washiriki wa kongamano la kuadhimisha siku ya haki za binadamu duniani, wakiwasikiliza watoa mada, kwenye kongamano hilo lililofanyika skuli ya maandalizi Madungu Chake chake Pemba, na kutayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba
Mfawidhi wa tume ya haki za binadamu na utawala bora Pemba, Suleiman Salim Ahmad, akizunguma na washiriki wa kongamano la kuadhimisha siku ya haki za binadamu duniani yaliofanyika mjini Chake chake, kulia ni Mratibu wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, Fatma Khamis Hemed na kushoto ni mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ Daud Othman Kondo
Mtoa mada Khalfan Amour Mohamed katika kongamano la maadhimisho ya siku ya haki za binadamu duniani, yaliofanyika skuli ya maandalizi Madungu Chake chake Pemba na kutayarishwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba
Mshiriki Aisha Abdalla Rashid, akizungumza kwenye kongamano la maadhimisho ya siku ya haki za binadamu ulimwenguni yaliofanyika skuli ya maandalizi Madungu Chake chake Pemba
Washiriki wa kongamano la maadhimisho ya siku haki za binadamu ulimwenguni, wakiwa katika pozi ya picha pamoja na watendaji wa Kituo cha Hudumza za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la Pemba, wakiongozwa na mjumbe wa bodi ya wadhamini wa ZLSC Daud Othaman Kondo, hafla hiyo iliofanyika skuli ya maandalizi Madungu Chake chake Pemba.
(Picha na Haji Nassor, Pemba).

No comments :
Post a Comment