dual citizenship

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

Mwanakwerekwe shops ad

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Monday, January 18, 2016

BREAKING NEWS: WANANCHI WALIOBOMOLEWA NYUMBA ZAO WA BONDE LA MKWAJUNI (DSM) WAFUNGA BARABARA NA KUFANYA FUJO!

Image result for breaking news
Wakazi wa Kinondoni wafunga barabara ya Kawawa eneo la Mkwajuni wakipinga #bomoabomoa ya nyumba zao!


Hali si shwari hivi sasa katika eneo la Bonde la Mkwajuni Kinondoni jijini Dar es salaam, na inaelezwa kuwa baadhi ya Wananchi wamechoma mataili pande zote za barabara na hakuna gari kupita. Jeshi la Polisi lipo eneo la tukio hivi sasa kukabiliana na tukio hilo ambalo chanzo chake unadaiwa ni baadhi ya vijana wanaodaiwa kuwa walikuwa wakazi wa eneo lililobomolewa ambao wameingia barabarani na kufanya fujo. Pia gari la zimamoto limefika eneo la tukio ili kuzima moto huo. (Picha zote na Henry Mdimu)

Mkw2.jpg 

Mk1.jpg 
Wananchi wa bonde la Mkwajuni Kinondoni wamefunga barabara 
ya Kawawa. Wanachoma matairi na kujaza magogo barabarani. 
Mkw3.jpg 

[​IMG]

[​IMG]

No comments :

Post a Comment