Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, akimuapisha Rashid Hadid Rashid, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba Ikulu Mjini Unguja jana. Kabla ya uteuzi huo, Rashid alikuwa Ofisa Tawala wa Wilaya ya Chake Chake Mkoa wa Kusini Pemba. PICHA: IKULU.
Hili blog ni kuhusu Tanzania na dunia nzima kwa ujumla. Pita kila siku kwa habari moto moto. (This blog is about Tanzania and the world as a whole. Pass-by everyday for breaking news). ***********************KARIBUNI NYOTE / YOU ARE ALL WELCOME!***********************
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment