Wafanyabiashara waliokuwa wakiuza mbao na miti katika eneo maarufu Rahaleo mkabala na skuli ya Rahaleo wameanza kuvunja sehemu zao za biashara hiyo kuitikia wito wa serikali wa kuondoka sehemu hiyo ifikapo jana na kutengewa sehemu nyengine ya biashara hiyo maeneo ya Daraja bovu.
Eneo hili miaka ya zamani liliokuwa eneo la wazi ambapo vijana wengi wa mitaa iliyo karibu walikuwa wakitumia sehemu hii kama viwanja vya michezo kabla ya kuruhusiwa wafanya biashara za mbao na miti kulitumia.
Zaidi soma hapa:
/Zanzinews.
No comments :
Post a Comment