Kwa mujibu wa wenzetu wa Pride Fm iliyo Mtwara, meli hiyo kubwa iliyo na urefu wa zaidi ya viwanja viwili vya mpira wa miguu (soka) iliwasili jioni ya leo kwa majira ya Tanzania na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Dr Khatib Kazungu.
Meli hiyo iliingizwa gatini na Nahodha Mkuu wa bandari zote za kusini Hussein Kasuguru, ambaye baada ya kuegesha, alizungumza na waandishi wa habari.
Baada ya hapo, James Lemomo, Meneja uendeshaji wa kampuni ya Diamond Shipping alizungumza na waandishi wa habari
Kisha, Mkuu wa wilaya Dr Kazungu, alizungumza na waandishi wa habari
No comments :
Post a Comment