Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, December 30, 2016

SHIPPING TO ZANZIBAR FROM TORONTO, CANADA!

Image result for shipping to zanzibar from toronto

Assalaam aleykum warahmatullahi wabarakatuh,
Kwa mara nyengine tena, tunapenda kuwatangazia ndugu zetu Wazanzibari wote na Watanzania kwa jumla kua, tunatarajia kupeleka Container na tunasafirisha mizigo ya aina mbali mbali kwa bei nafuu.

Tunapokea madumu kwa $100/- US au 130/- Canadian. 

Tunapokea madumu madogo na makubwa kwa bei tofauti, na maboksi size mbali mbali na kwa bei tofauti.

Yeyote atakaekua interested, au mwenye swali, tunaomba awasiliane na mimi Bidada kupitia no. yangu ya simu: 289 696 3089.


Ahsanteni, na kazi njema.

/Bidada

No comments :

Post a Comment