Marehemu Saleh enzi za uhai wake
Kwa Niaba ya Wanafamilia ningependa kutoa shukran kwa watu wote walioshiriki mazishi ya Marehemu Saleh huko Philadelphia leo, Kwa kweli Mapenzi ya Utanzania wetu bila kujali dini au kabila Watanzania wamejitokeza kutoka Boston, NewYork Connecticut, Delaware, Georgia, Ohio, Texas na DMV wapo walio drive masafa marefu na wengine kutumia usafiri wa ndege na wengine kuchangia michango ya online ya Mazishi Tunasema shukran kwa upendo huu.
Marehemu Saleh akiombewa dua baada ya mazishi.
Baadhi ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika kwenye mazishi ya Marehemu Saleh.
No comments :
Post a Comment