Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Friday, February 24, 2017

Jamaa amuua mkewe kwa nyundo na kisu, aacha ujumbe mzito Dar!


Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Mudi Kuchunga mkazi wa Boko amemuua mke wake Mama Ziada kwa kisu na nyundo na kisha kujinyonga usiku wa kuamkia leo akiacha ujumbe mzito wa dhamira ya kufanya hivyo upelekwe kwa mamlaka za polisi serikali za mitaa na majirani wote.

Tukio hilo lilivuta hisia za watu na hasa katika ujumbe aliouacha kuonyesha michoro ya zana alizotumia kumuua mkewe pamoja na kuomba tukio hilo lisimuhusishe mtu yeyote kuwa ameamua kuua mwenye kwa sababu za ndani ya mahusiano yao wenyewe na akisistiza ujumbe huo usomwe kwa umakini.

Hata hivyo jeshi la polisi walifika katika eneo la tukio na kuchukua miili hiyo na barua zote zilizoandikwa kuhusiana na tukio hilo, ikiwemo michoro ya vifaa alivyotumia kuua, nyundo na kisu huku viongozi wa serikali eneo ya mtaa na kata wakilaani na kueleza hisia zao kwa tukio hio.

No comments :

Post a Comment