Kwarara Msikitini

airbnb

Dual Citizenship #2

Dual Citizenship #2

Pemba Paradise

Zanzibar Diaspora

ZanzibarNiKwetuStoreBanner

Mwanakwerekwe shops ad

ZNK Patreon

Scrolling news

************ KARIBUNI..................Contact us for any breaking news or for any information at: znzkwetu@gmail.com. You can also fax us at: 1.801.289.7713......................KARIBUNI

Tuesday, February 21, 2017

Kanali Mstaaf Ngemela Lubinga Amtembelea Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Masauni Ofisini Kwake Jijini Dar es Salaam!

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga,akizungumza na Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni wakati wa mazungumzo mbalimbali yaliyohusiana na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi Mkuu uliopita.Mazungumzi hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Waziri,jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga, alipomtembelea kujadili masuala mbalimbali yaliyohusiana na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi Mkuu uliopita. Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Waziri, jijini Dar es Salaam.Katikati ni msaidizi wa Katibu huyo
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akifafanua jambo kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Siasa na mahusiano ya Kimataifa,Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga, alipomtembelea kujadili masuala mbalimbali yaliyohusiana na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi Mkuu uliopita.Mazungumzi hayo yamefanyika ofisini kwa Naibu Waziri,jijini Dar es Salaam.
Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

No comments :

Post a Comment